7. Jan, 07:29
Utambulisho wa Tangazo: 2398126
TSh 65,000

#NOVEL DIPILE

Arusha Mjini Arusha
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha Mjini tu .Tofauti na apo utachangia gharama zitakazo husika

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

#BAWASILI

#TIBA YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.

#BAWASIRI / HEMORRHOID - Ni nyama inayojitokeza sehemu ya haja kubwa ambayo husababisha mtu kutokwa damu na maumivu makali hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Aidha sababu kuu ya Bawasiri huwa ni;

Ni pressure kubwa ya kwenye mishipa ya damu hivyo hujirundika kama nyama na kutokeza nje sehemu ya haja kubwa.

Na wakati mwingine hiyo nyama huwa ndani ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine huweza kutokelezea kwa nje.

KINACHOPELEKEA PRESHA HIYO YA MISHIPA YA DAMU

1.Gesi tumboni ambayo hupelekea kupata choo kigumu.( Hali hii husababishwa na madonda ya tumbo au ulaji mbovu wa chakula.)

2.Magonjwa ya Moyo na ini.
3.Uzito mkubwa kupindukia.
4.Ujauzito kwa wanawake.
5.Kazi za kukaa sana mara kwa mara
`
Mara nyingi ufumbuzi wa bawasiri umekuwa ni wa kufanyiwa upasuaji na kuondoa kinyama kilichoota njia ya haja kubwa.

Lakini kadhalika upo ufumbuzi mzuri ambao unaponya bawasiri pasipo kufanyiwa upasuaji.

MATIBABU YA BAWASIRI BILA UPASUAJI.

NOVEL DIPILE na CONSTIRELAX - Ni chakula dawa au food supplement zinazoponya Bawasiri bila kufanyiwa upasuaji. Zimetengezwa kwa Matunda yenye jamii ya miti ya maua iliyoweka kama kichaka (shrubs). Miti hiyo ni kama machungwa, chenza, limao, zabibu na miti ya jamii hiyo.na iliyothibitishwa na TFDA, halal na mamlaka nyingi kimataifa.
`
FAIDA YA TIBA HII.

Husaidia kuondoa presha ya mishipa ya damu inayojirundika kama nyama kwenye tundu la haja kubwa.

Huondoa maumivu ya bawasiri kabisa bila upasuaji.

Huponya kabisa bawasiri bila upasuaji.
Hulainisha choo.

Karibu tusaidiane kutatua changamoto yako

Tunapatikana Mikoa yote

0765 163 943
0765 163 943
Mwanachama tangu 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!