26. Dec '20, 19:37
Utambulisho wa Tangazo: 2376852
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi 31. Mar

NINATAFUTA MSAIDIZI WA KIKE WA KAZI ZA NYUMBANI

Bagamoyo Pwani
Maelezo ya Bidhaa
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi
2021-03-31
Jina la Mwajiri / Kampuni
Mariam
Aina ya Majukumu
Ngazi ya Kati
Maelezo

Msaidizi anahitajika kufanya kazi kwenye makazi Bagamoyo ambapo wanaishi wazazi wawili. Hamna mtoto wa kulea, wote wakubwa na hawaishi tena na wazazi kwa sasa. Ninahitaji mtu atakayeishi Bagamoyo kwa ajili ya kazi lakini atapewa siku ya Jumapili off (au siku nyingine yoyote atakayopendelea).

Msaidizi awe mwanamke mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 45. Ninapendelea awe ni mtu anayejielewa na kujitambua kwa kuwa atakuwa anaishi na wazazi wangu.

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
mariamkawambwa
Mwanachama tangu 28. Sep '17
Verified via:
Email Mobile Number

Omba Kazi Hii
Show Application Instructions
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!