29. Nov '21, 09:44
Utambulisho wa Tangazo 3681982
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi 28. Feb

Natafuta kazi ya uhasibu au msimamizi(manager)

Moshi Kilimanjaro
Maelezo ya Bidhaa
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi
2022-02-28
Kiwango cha mshahara (Shilingi)
0 - 500,000
Jina la Mwajiri / Kampuni
Any Business/ Company or NGO's/ Co-orperative ( Profit and Non profit organization)
Aina ya Majukumu
No Experience
Aina ya nafasi
Mwajiriwa wa kudumu
Elimu
Cheti
Uzoefu wa miaka
Mwaka 1
Maelezo

Nimehitimu shahada ya uhasibu na fedha katika chuo kikuu cha Ushirika Moshi, pia nina stashahada na astashahada ya usimamizi wa biashara (business administration) katika chuo cha kikatoliki Mwenge. Nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja katika fani ya uhasibu na nimefanya baadhi ya kazi kama kuaandaa ripoti za fedha, kujaza fomu za TRA na NSSF (E-filling)n.k nina uzoefu wa kompyuta katika program za kiuhasibu kama Quick book na Excel, na kwasasa najitolea katika shule ya sekondari Natiro kama mwasibu msahidizi.

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
Innocent Gladstone Macha
Mwanachama tangu 13. Jul '21
Verified via:
Email Mobile Number
Omba Kazi Hii
Contact via Phone
You need an account to contact this user. Please Ingia/Jisajili
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!