11. Sep '21, 22:32
Utambulisho wa Tangazo 3355362
TSh 1

DAWA ASILI KWA MOYO ULIOTANUKA

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

MOYO ULIOTANUKA, SABABU ZAKE,DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE ASILI

MOYO ULIOTANUKA/KUTANUKA KWA MOYO(CARDIOMEGALY).

Kutanuka kwa moyo maana yake ni moyo unakuwa mkubwa kuliko kawaida,moyo hutanuka kutokana na utanukaji wa misuli/ kuta za moyo ambayo ni matokeo ya misuli au kuta za moyo kufanya kazi kubwa kuliko uwezo wake.

Kutanuka kwa moyo sio ugonjwa bali ni matokeo ya itilafu inayotokana na moyo kutumia nguvu nyingi katika kusukuma damu mwilini,nguvu hiyo ndio hudhoofisha misuli/kuta za moyo na kupelekea misuli hiyo kutanuka(moyo kuwa mpana/mnene).

Je wajua nini hasaa chanzo cha moyo kutanuka???

Kutanuka kwa moyo huchangiwa na moja ya sababu zifuatazo;

1.Kupanda zaidi kwa shinikizo la juu la damu mwilini (Hypertension) au kwenye mishipa inayounganisha moyo na mapafu (Pulmonary hypertension).

Hali ya presha au shinikizo la damu kuwa juu zaidi husababisha moyo kusukuma damu zaidi kuliko kawaida hali inayopelekea misuli/kuta za moyo kuwa nene hatimae hufanya moyo kuwa mpana.

2.Ugonjwa wa mishipa ya moyo (Coronary artery disease) pamoja na ugonjwa wa misuli ya moyo (Cardiomyopathy).

Moyo wenye itilafu ya mishipa au misuli husababisha misuli au mishipa hiyo kukakamaa, kukakamaa kwa misuli/mishipa hupunguza uwezo wa moyo hatimae moyo hujaribu kutumia nguvu nyingi kusukuma damu hali inayofanya misuli kuwa minene.

3.Uchache wa chembe hai nyekundu katika damu(Red blood cell) au uwingi wa madini ya Chuma (Fe) katika damu.

Uwepo wa chembe hai nyekundu chache katika damu ambayo inatafsiriwa kama ukosefu wa damu mwilini hufanya ubebaji na usambazaji wa damu mwilini kuwa mdogo hivyo moyo nguvu za ziada tena za haraka kukabiliana na hali hiyo na kupelekea kuta za moyo kuwa nene(moyo kutanuka).

Kwa upande mwingine, uwingi wa madini ya chuma mwilini hufanya madini hayo kujijenga sehemu mbalimbali za mwili hasaa zaidi ogani za mwili kama moyo.Uwingi wa madini haya kwenye moyo hudhoofu misuli ya moyo na kufanya misuli ya moyo kuwa minene.

4.Magonjwa ya tezi mfano Thyroid disease.

Magonjwa ya tezi (Grands disease) hupelekea homoni kutolewa kwa kiwango kidogo au kingi, kuvurugika kwa mpangilio huu huathiri mapigo ya moyo, msukumo wa damu na ukubwa wa moyo na hivyo kuufanya moyo kuwa mnene.

5.Kurithi na matatizo ya kuzaliwa nayo mfano kuwepo kwa tundu kwenye Aorta (Patent ductus arteriosus) kama ugonjwa wa kuzaliwa nao.

Kurithi tatizo hili au kuzaliwa na tatizo hili hufanya watu kulipata tatizo hili.

Sababu zingine zinazopelekea tatizo hili ni kama zifuatazo??⤵️;

➡️Kuharibika kwa vavu (valve) kwenye vishipa vya damu.

➡️Moyo kushambuliwa na virusi na bakteria mara kwa mara.

➡️Ugonjwa wa figo.

➡️Kuwa na uzito mkubwa (Overweight) na unene uliokithiri (Obese).

➡️Matumizi yaliyokithiri ya pombe na madawa ya kulevya.

➡️Maambukizo ya virusi vya ukimwi (VVU)

➡️ Ujauzito/kujifungua.

KUMBUKA.

MADHARA YANAYOTOKANA NA TATIZO LA MOYO KUTANUKA:⤵️

⚫Kifo cha ghafla.

⚫Moyo kusimama kufanya kazi.

⚫Kiharusi(stroke).

⚫Vidonda kwenye moyo.

DALILI ZA MTU MWEYE TATIZO LA KUTANUKA KWA MOYO (Cardiomegaly)

  1. Kupumua kwa shida sana

  2. Kujaa na kuvimba kwa miguu.

  3. Kifua kubana

  4. kupoteza fahamu.

5.Vidole kufa ganzi na kukakamaa

  1. Mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana

  2. Moyo kulipuka mara kwa mara

  3. Miguu kuwa ya baridi.

  4. Maumivu kwenye chemba ya moyo.

10.Kuongezeka uzito na
kuwa na tumbo kubwa.

  1. Kuwa na wasiwasi na kukosa amani.

MATIBABU

Licha ya uwepo wa dawa tofauti za kupambana na tatizo hili kama vile dawa za kuupunguzia moyo mzigo Lasix na zinginezo na dawa za kuusaidia moyo ulioshindwa Digoxin n.k bado tatizo hili litaendelea kuwa kubwa zaidi kama hatua za haraka hazitachukuliwa.

MUHIMU:
Ipo mimea tiba yenye uwezo wa ajabu sana katika kulimaliza tatizo hili la moyo kutanuka.Dawa hii ni bingwa ya maradhi haya,dawa hii inaitwa CARDIAC SOLUTION

Muhimu zaidi aliyebainika na tatizo hili kufanya mambo yafuatayo;

➡️Kudhibiti ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi.

➡️Kupunguza ulaji wa wingi wa mayai na maziwa.

➡️Matumizi mengi ya chumvi kwenye mboga

➡️Kudhibiti kupanda kwa shinikizo la juu la damu

➡️Kudhibiti sukari

➡️Kutotumia pombe au kahawa

➡️Tumia mafuta kiasi kwenye mboga/kuandalia chakula mfano mafuta ya alizeti

➡️Kupata mapumziko ya kutosha kwa siku(masaa 8 au zaidi kwa siku)

➡kujiandikisha kwenye kriniki kupata uchunguzi wa mara kwa mara.

Pandex herbal
Pandex herbal
Mwanachama tangu 13. Ago '21
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!