Mosquitoes net
Hii ni net ya kisasa ni nzuri sana
Licha ya kukinga na mbu inapendezesha chumba chako na kukifanya kiwe na mwonekano wa kuvutia .
Zina funga kitanda cha 5,6 na 6,6.
Ziko rangi white, pink, cream na papo.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!