3. Nov '21, 21:00
Utambulisho wa Tangazo 3583680
TSh 350,000

Money counter machine

Kinondoni, Mwananyamala Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

MONEY COUNTER MACHINE⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
◉ Tunakuletea mashine inayotumika kuhesabia pesa zako. Mashine hii itakusadia au itakurahisishia kuhesabu pesa kwa haraka.⠀⠀⠀⠀⠀

◉ Mashine hii ina uwezo wa kutambua pesa fake. Mashine itagoma kuendelea kuhesabu pesa pindi itakapogundua kuwa kuna pesa fake na itatoa mwanga mwekundu kwenye screen.
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
◉ Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dollar , euro, kwacha, Tshs n.k.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀

◉ Mashine hii pia itaonesha kiasi halisi cha pesa mfano: 100,000/=, 200,000/= n.k
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
◉ Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa kwa uharaka zaidi na kwa uhakika zaidi.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
◉ Tunakupatia Warranty ya miaka 2. Karibuni sana⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀

minjasteven05@gmail.com
Mwanachama tangu 24. Ago '17
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!