21. Mei, 17:03
Utambulisho wa Tangazo 2302958
TSh 130,000

Mizani inayosoma bei

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Door to door

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

?? DIGITAL ELECTRONICS PRICE WEIGHT SCALE

Tunauza Mizani za kisasa kwa ajili ya matumizi ya Duka,Bucha,Majumbani,Jikoni na Biashara mbalimbali .

?? *Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia 1g mpaka 40kg(kilo arobaini) kwa kadirio zuri na la uhakika sana.

?? Pia ni mizani Bora na salama kwa matumizi ya Buchani kupimia uzito wa Nyama,Samaki,Kuku na Dagaaa n.k .??

Mizani hizi zina uwezo wa kupima
UNGA
MCHELE
MAHARAGE
SUKARI
NYAMA
SAMAKI
DAGAA
na nafaka zingine

??Mizani hii ya kisasa ina sehemu ya screen kwa ajili ya kuonyesha bei na kilo.??

Ubora*

✓Mizani zetu ni imara Sana na unaweza kuchaji na Kisha kutumia kwa mwezi na nusu bila kuchaji tena,

✓Mizani hii itakuongezea uaminifu kwa wateja wako kwa kua inaonyesha fixed amount and quantity (kiasi Cha bei na uzito halisi)

✓Njooo ujipatie kilichobora zaid.

Huduma ya delivered
??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.??

Price:145000/=

Saler
Mwanachama tangu 1. Sep '19
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!