Miti ya mbao pine yenye umri wa 15, idadi ya Miti ni 4000, miti 3000 inaweza kutoa kuanzia pingili tatu size ten. Shamba lipo karibu na barabara mkabala na shule ya Msingi Maskanzi.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!