15. Feb, 11:16
Utambulisho wa Tangazo: 2420330
TSh 140,000

TATIZO LA MIGUU KUWAKA MOTO NA KUSHIKA GANZI

Dodoma Mjini Dodoma
Seller offers delivery

Tunakuletea kwa kuchangia elfu 5 kwa mzigo mpaka ulipo

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

#TATIZO_LA_MIGUU_KUVIMBA_NA_KUWAKA_MOTO.

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili
yaani miguu na mikono.

Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la #Peripheral_Neuropathy.

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na
hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

#Dalili Zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo

1.Mtu kuhisi ganzi

  1. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli na kadhalika.

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex)

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,(diabetic polyneuropathy).

5.Shinikizo la damu

Kama unasumbuliwa na hili tatizo kwa muda Sasa wasiliana nasi au unaweza kuingia kwenye group letu moja kwa moja kupitia link hapo chini
https://chat.whatsapp.com/CFnrYP6xtRGIhBNFAtbxf9

ELIAS MAZWAZWA
Mwanachama tangu 7. Sep '20
Verified via:
Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!