Mteja anaweza kutuma hela mzigo wake ukatumwa au akaja mwenyewe na kupakia mzigo wake
Jipatie mbao aina ya pine kwa gharama nafuu. Kwa wateja wa ndani ya nchi na nchi jirani watasaidiwa kupata usafiri kwa gharama nafuu
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!