Tunasafirisha mizigo popote pale. wasiliana nasi.
Karibu mjipatie mashuka na net za kisasa kwa bei poa kabisa.
Tunapatikana. Jijini mwanza mtaa wa Makoroboi na nyerere road. Mtaa wa makoroboi tupo njia ya kuingilia Shule ya wahindi (Rajendra Pre- school) kwenye jengo la chimani.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!