12. Apr, 11:02
Utambulisho wa Tangazo 2483503
TSh 730,000

MASHINE ZA KUTENGENEZA JUICE YA MIWA.

Temeke, Chang'ombe Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Mashine za kutengeneza juice ya miwa zinauzwa.
Ziko 2 ni manual. Kama unavyoona 1 iko kwenye boksi bado haijawahi kutumika kabisa. Na 1 iliyoko juu ya meza ndo imetumika kidogo kama week 3 na imefungwa mota kabisa. Na mota inatumia petrol kiasi kama lita 1 hivi haili mafuta sana.

Ziko dar eneo la Chang’ombe ya Veta. Bei ni maelewano na mteja.
Karibuni sana.

Sheryl
Mwanachama tangu 8. Feb
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!