@mashine_za_kuchuja_maj_chumvi
・・・
SAFISHA MAJI CHUMVI KUWA SAFI NA SALAMA
Tunadeal na mashine za kusafisha maji kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda
Mashine hizi zinaitwa REVERSE OSMOSIS MACHINE
Zinauwezo wa kuondoa madini hatarishi katika maji na baadhi ya chemical hatarishi kama vile ARSENIC ACID NK
Kazi zingine za mashine
??kuondoa chumvi na maji kuwa safi kwa kunywa hata chumvi ya level ya maji Bahati
??kuondoa Magazi
??kubalance ph ya maji
??kuondoa bacteria na viruses
??kuondoa harufu mbaya ya maji
??kuondoa kutu
??kuboost calcium katika maji
Wasiliana nasi.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!