11. Okt, 11:37
Utambulisho wa Tangazo 3496686
TSh 17,000,000

MASHINE ya KUSAGA na KUKOBOA INAUZWA!

Other Mwanza District Mwanza
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Imetumika
Maelezo

Mashine ya kusaga na kukoboa inauzwa. Sifa zake: - Upande wa kusaga umetengenezwa kwa chuma maalumu kinachohimili kusaga kwa muda mrefu. Ukubwa wake ni inchi 14. Upande unaokoboa Una meno matatu ya kukobolea. (Thamani ya pande zote mbili ni shilingi milioni 6.5) - Ina copper coil 30hp na Motor 25hp vyenye thamani ya shilingi millioni 4. - Imeunganishwa naumeme wa Tanesco (mita na nguzo za Tanesco vina thamani ya shilingi millioni 1.5) - Ina switch mbili (2) na na control cable 1 (switch na cable vina thamani ya shillingi millioni 4) - Mashine ipo ndani ya jengo lililojengwa kwa mabati imara ya zinc, msingi bora na paa lisilo na tatizo lolote. (Thamani ya jengo ni shillingi milioni 8). Thamani halisi ya kila kitu ni shilingi milioni 24 ila bei inaweza kupungua kidogo. Malipo ni pesa taslimu. Hatukopeshi wala kukodisha. NB: Iwapo mteja atahitaji kufanya kazi eneo ilipo mashine, atalipa 50,000 kwa mwezi kama kodi ya eneo kwa mmiliki wa eneo hilo Ila kodi inaweza kupungua hadi 30,000. Mashine ipo Jijini Mwanza.

Evans
Mwanachama tangu 21. Sep '20
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!