3. Okt, 22:21
Utambulisho wa Tangazo 3461350
TSh 2,285,000

MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

MASHINE YAKUSAGA NA
KUKOBOA 2 IN 1.

?Faida za Mashine hii
?Inakazi mbili Inasaga na kukoboa kwa wakati
mmoja.
?Inarahisisha kazi na kupunguza gharama za
umeme.
?Inasaga na kukoboa vitu vingi kama
mahindi,mchele,ulezi nk
?Inauwezi wakusaga kilo 300kwa saa na kukoboa kilo 180/
saa.
?Nzuri sana kwa kazi na inatumia umeme
mdogo wa majumbani 220v.
?Ni portable na rahisi kuhamishika na inauzito
wa kilo 75 tu.
?Inatumia motor moja yenye 3000wats.

BEI YAKE NI Tsh 2,2885,000/=

Tupo Dar es salaam kisutu .

ROYAL SECURITY SOLUTIONS
Mwanachama tangu 4. Mac
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!