23. Jan, 08:15
Utambulisho wa Tangazo: 2440994
TSh 80,000

MAMBO MANNE YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA KUJITIBIA KISUKARI (NAMBA 4 ITAKUSHANGAZA)

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

MAMBO 4 YA KUSHANGAZA UNAYOTAKIWA KUYAFAHAMU KABLA YA KUANZA KUDHIBITI UGONJWA WA KISUKARI (NAMBA NNE ITAKUSHANGAZA)

1.nini hutokea kiwango cha sukari kinapokua juu.!?
Kama tayari ni monjwa wa kisukari unatakiwa kuhakikisha kwamba sukari kuhakikisha sukari inabaki katika kiwango sahihi ni muhimu kwa sababu unaposhindwa na ikazidi itakufanya ujisikie vibaya yaani utapatwa na homa pamoja na uchovu na dalili zinginezo lakini pia inakuhatarishia afya yako hasa viungo muhimu vya mwili kama Figo moyo na viungo kama macho hivyo ni vyema unapogundua sukari yako ipo juu ni vyema sana kununua kipimo kwa ajili ya kujipima mwenyewe unapokua nyumbani kitakachokusaidia katika hili
Swali:kwanini sukari inaongezeka kwenye damu?
Kiwango cha glucose kwenye damu ni kiasi cha sukarikwenye damu ,glucose ni sukariinayotokana na vyakula tunavyokula kila siku na pia hutengenezwa na kuhifadhiwa mwilini na ndiyo chanzo kikuu cha nishati katika miili yetu na damu husafirisha sukari kwendakwenye seli za miili

2.kinachotokea unaposhindwa kudhibiti kisukari katika viwango vinavyotakiwa !?

Kisukari kisipodhibitiwa husababisha matatito mbali mbali kama hypoglycemia (ni neon la kitaalamu litumikalo kumaanisha viwango vikubwa vya sukari mwilini Hali hii hutokea pale miili yetu inaposhindwa kutengeneza insulin ya kutosha kwa ajili ya kukidhi mahitaji ama inaweza ikawa inazalishwa kama kawaida lakini mwili hushinwa kurespond vizuri pindi insulin inapozalishwa watu husikia kuhusu kudhibiti kisukari lakini hawaelewi maana yake ni nini Daktari wako anapozungumzaia sula hili anamaanisha kuhakikisha sukari yako ipo katika levl ya kawaida mwilini yaani isizidi wala kupungua kwenye kiwango chake sahihi kwa sababu kufanya hivi kutakuweka katika hali nzuri kiafya
Mambo ya kuepuka kufanya sukari ibaki kawaida
Kutokufuata maelekezo ya namna ya kutumia dawa
Kutokufuata mpangilio wa mlo kamili na (kula chakula kingi kupita kiasi /kula kidogo kuliko kawaida)
Kutokupima sukari mara kwa mara
Kutokufanya mazoezi kabisa ama kufanya mazoez kupita kiasi n ahata kufanaya mazoezi kidogo kuliko inavyotakiwa

3.Nini hutokea kisukari kisipotibiwa!?

Kisukari husababisha shida zifuatazo usipowahi kutibia tatizo hili la kisukari , matatizo ya moyo matatizo ya figo ,kiharusi(stroke) na uharibifu wa mfumo wa neva
-homoni aina ya insulin hutumika kutoa sukari kwenye damu na kuijaza kwenye sli ambapo hutumika kama chanzo cha nishati kwa ajili ya mifumo yote ya mwilimwili unaposhindwa kuzaisha insulin ya kutosha sukari hubaki kwenye damu na hushindwa kuingia kwenye seli hivyo mwili hukosa nishati kwa ajili ya kufanya shughuli za mwili na hali hii mara nyingi humkuta mgonjwa mwenye aina ya kwanza ya kisukari ns katika aina hii ya kisukari husababishwa na mfumo waneva kuharibu seli za kongosho Aina ya pili hutokana na mwili kushindwa kufanya kazi vizuri hata kama kuna insulin
4.Je ugonjwa huu unatibika!?

Kwa sasa hamna tiba iliyogundulliwa kufanya hivo lakini kwa mgonjwa wa kisukari aina ya pili anaweza kurudi katikahali yake ya kawaida kwa kubadili mfumo wa maisha aliokua nao mpaka akapata tatizo hili la kisukari kwa sababu tatizo la kisukari hutokana na ubovu wa matumizi ya lishe na mtindo mbovu kama matumizi ya vileo na mengineyo nitaishia hapa

Nimekuandalia kikundi cha WhatsApp ambapo nitakua nikifundisha kuhusu kisukari na namna unavyoweza kujitibia tatizo la ukinzani kwa insulin ya mwilini mwako ( yaani insulin resistance) kwa sababu dozi huenda ikipanda bei kila kukicha
*Utajifunza kwanini kisukari husababisha presha ,shambulio la moyo, kiharusi,upofu ,na ugonjwa wa figo
*Utajifunza namna ya kupangilia vyakula kwa ajili ya kuhakikisha sukari yako haizidi kiwango kinachotakiwa
*Utajifunza namna ya kuondoa uchovu mwilini na pia kinywaji unachoweza kutumia chenye utamu usiosababishwa na sukari kilichotengenezwa na mmea wa stevia unaosaidia kushusha sukari na kukinga dhidi ya madhara ya presha na namna ya kukiandaa ukiwa nyumbani kwako

Nimekuandalia kikundi cha WhatsApp kwa ajili ya kutoa elimu juu ya ugonjwa was kisukari ikiwemo namna ya kujikinga na matumizi bora ya lishe bonyeza link hii kujiunga
https://chat.whatsapp.com/Lig51GiPNwfFOYGaa2DoR6

Craus masala
Mwanachama tangu 19. Jan
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!