21. Feb, 16:09
Utambulisho wa Tangazo: 2535028
TSh 130,000,000

MALIMBE HOSTEL / APARTMENT PLOT SIZE: 34 *20 METERS.

Nyamagana Mwanza Nyumba ipo mita 600 kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Agustin (SAUT) Mwanza Tanzania.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
002
No of bedrooms
5
No of bathrooms
2
Maelezo

Kiwanja chenye nyumba kinauzwa, kipo mita 600 kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Agustin (SAUT) Mwanza Tanzania, mtaa wenye hostel nzuri zinazopangishwa kwa wanafunzi na waalimu. Maeneo hayo hostel zinapangishwa kati ya TSH 800,000 mpaka 1,800,000 kwa chumba kimoja kwa mwaka.
Nyumba ina sebure kubwa ambayo inaweza kugawanywa kuwa vyumba viwili self contained, ina choo cha public, master bedroom and chumba kimoja, jiko kubwa na stoo.
Pia nyumba ina msingi mzuri na imara ambao unatosha kuongeza vyumba vitano(5) self contained na kufanya jumla ya vyumba kufika 10, Pia kiwanja kina barabara ndogo inayopita mbele ambayo unaweza kujenga flemu za maduka. Umeme na maji vipo karibu sana.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Benjamin Kanuda
Mwanachama tangu 6. Jun '17
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!