24. Mar, 12:27
Utambulisho wa Tangazo: 2612849
TSh 22,500

Mabati

Temeke, Chang'ombe Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Tunasafirisha bure mikoa yote ndani ya nchi ukiweka oda yako

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

lengo letu kubwa ni kuhakikisha kila mtanzania anaweza kuezeka kwa mabati ya kisasa ya rangi (mgongo mpana(msouth), mgongo mdogo na bati ya kigae

• bei zetu ni nafuu sana kila mtu anaweza kuzimudu

• kuna faida mbalimbali mteja akinunua bati kutokea kwetu atazipata kama ifuatavyo
~ usafirishaji ni bure mpaka mahali alipo mteja( mikoa yote ndani ya nchi)
~ ushauri wa kiufundi bure
~ ofa mbalimbali misumari 3kg bure
~ unazalishiwa bati kulingana na urefu wowote unaotaka (vipimo maalum )
~ uaminifu wa hali ya juu ukiweka oda yako , bati unazipokea kwa haraka sana hii ni kwa kila mkoa

mabati_bei_rahisi_tz
Mwanachama tangu 23. Mar
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!