Viwanja kigamboni cheka, mvuti,, bagamoyo na kibaha.
Viwanja vimepimwa na wizara na vina hati, malipo yapo ya aina mbili cash na malipo kidogo kidogo .
Bei kwa square mita 13000 cash.
Bei ya malipo kidogo kidogo 15000.
Ofisi zetu zinapatikana makumbusho.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!