Eneo 50×75=3750m2 maeneo ya njiapanda ya kilema mandaka chini kidogo ya st James seminary na juu ya st Amedeus secondary school eneo linafaa kwa matumizi yote kibiashara, kilimo au makazi lipo karibu na shule ya st Amedeus.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!