KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA
#Location: VISIGA KIBAHA
Kiwanja kina Ukubwa wa Square Meter 3,000
Na hiyo Nyumba ipo Kwenye Hicho Kiwanja Ina Vyumba Vitatu na Kimoja Master.
Kipo Eneo zuri Tambalale Umbali wa Mita 700 kutoka Main Road.
Umeme, Maji na Njia vipo.
#BEI_YAKE Million 50
Maongezi Yapo
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!