Friday, 07:32
Utambulisho wa Tangazo: 2527547
TSh 10,000,000

KWA MILION KUMI UNAMILIKI KIWANJA KIGAMBONI KARIBU NA BAHARI,WAHI MAPEMA

Temeke, Pemba Mnazi Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
400.0 m²
Maelezo

?MRADI MPYA!!!
BUYUNI BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri,wa kuvutia sana na unaogusa maji.
-Mradi upo Kigamboni Buyuni.
-Umbali ni 50km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Mradi umepimwa.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Full upepo wa bahari.
-Bei ya square meter moja ni 25,000.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ukiigawanya kwa kila mwezi.
Karibuni tupate upepo wa bahari.
?Ofisi zetu zipo Ubungo Mawasiliano Mkabala na Stendi ya Daladala.
KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Mwanachama tangu 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!