18. Sep '20, 12:57
Utambulisho wa Tangazo: 2135109
TSh 120,000,000

#KIWANJA/ENEOLINAUZWAMBEZI LUGURUNI - DAR

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Kibamba Luguruni, karibu na offisi za Manispaa, Ubungo
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Biashara
Price per square unit
Hapana
Square units
4,000.0 m²
Maelezo

SWAHILI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
MAHALI: MBEZI LUGURUNI - DAR ES SALAAM.
MAELEZO: KIWANJA KINA NYUMBA MBILI ZA KIZAMANI
PAMOJA NA MABANDA.
KIWANJA KIMEPIMWA TAYARI, HATI
INASHUGHULIKIWA.
KIWANJA KIKO UMBALI WA MITA 900 TOKA
BARABARA YA MORO.
ENEO LIMECHANGAMKA SANA NA KUNA
MAENDELEO SANA, PIA PAKO TAMBARALE.
LINAFAA: ENEO LINAFAA KWA HOTEL, APARTIMENTS,
MAKAZI, YADI N.K.
UKUBWA: ENEO LINA UKUBWA WA MITA ZA MRABA 4,000
(KARIBU HEKA 1).
ZAIDI: ENEO LINA UMEME WA 3PHASE PIA.
BEI: TSH. 120,000,000/= (MAONGEZI YAPO)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ENGLISH
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
LOCATION: THE PLOT IS LOCATED AT MBEZI LUGURUNI
DAR ES SALAAM.
DESCRIPTION: THE PLOT HAS TWO LOCAL HOUSES.
THE PLOT IS SURVEYED ALREADY AND TITLE
DEED IN PROCESS.
THE PLOT IS LOCATED 900 METRES FROM
MORO ROAD.
THE AREA AROUND HAVE DEVELOPED IN .
SUITABLE FOR: THE PLOT IS SUITABLE FOR HOTELS, YARDS,
RESIDENTS AND APARTMENTS.
AREA: THE PLOT HAS 4,000 SQM AREA.
MORE: THE PLOT HAS GOT 3 PHASE ELECTRIC LINE
PRICE: TSH. 120,000,000/= (NEGOTIABLE)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Dash Business Consults
Dash Business Consults
Mwanachama tangu 17. Sep '20
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!