▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kiko: UBUNGO, MBWENI, DSM
— Kiwanja kiko sehemu nzuri sana kwa makazi. Huduma zote za maji na umeme upo kiwanjani.
— Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.
-- Kiwanja kina mita za mraba 1,760.
— Kiwanaja kina nyumba ndogo ya vyumba 5, ina AC.
— Kiwanja kiko mita 100 toka barabara kuu ya mbweni.
— Bei: Tsh. 230,000,000/- na mazungumzo yapo.
— Kiwanja kimezungushiwa fensi na ina geti la kuingilia ndani.
-- Eneo la kiwanja tayari limeendelezwa sana sana.
-- Kwa serious buyer tupigie namba za simu hapo chini.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!