KIWANJA KIZURI KINATAZAMA BARABARA ITAYOKUJA KUWEKWA LAMI
MAHALI- #Michese
MICHESE-Iko iringa Road inapakana na kikuyu,chidachi,miganga na itega ambapo watu wanajenga maghorofa kwaajili ya kuleta mvuto mzuri wa mji
UMBALI TOKA TOWN-5.5Km toka town centre(dakika 5 mpaka 7 kwa gari)
UKUBWA WA KIWANJA-756Sqm
kwa wasiofahamu ni urefu wa miguu 40 kwa upana wa miguu 19
DOCUMENT -HATI
MATUMIZI
-MAKAZI
-MAKAZI+BIASHARA(kwa wanaopenda kujenga fremu kinawafaa sana hiki)
BEI-10M (maongezi kidogo yapo)
MFUMO WA MALIPO
A.CASH
B.AWAMU(MAKUBALIANO)
HUDUMA -maji+umeme viko Jirani
SIFA ZA ZIADA
-kiwanja kiko 1Km toka barabara ya standard gauge(SGR)
-kiwanja kiko tambarare kabisa
-Huduma za maji+umeme ziko Jirani
-Eneo halina uswahili limezungukwa na nyumba mpya Tupu
-kiwanja kiko mita 200 kutoka shule za MORNING STAR PRE&PRIMARY SCHOOL n ZIONLIGHT
KIWANJA KIZURI SANA HICHI SIO CHA KUACHA(USISUBIRI MPAKA LAMI IJE BEI IPANDE ZAIDI)
NB-KWENDA KUONA KIWANJA HICHI NI BURE,SHINDWE
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!