SWAHILI
#KIWANJA KINAUZWA MWANA NYAMALA KISIWANI DAR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kipo: MWANA NYAMALA - DAR.
--- Kiwanja kina ukubwa wa 273 SQM
--- Kiwanja kimepimwa tayari.
--- Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi.
--- Kiwanja kiko mita 20 toka kituo cha basi manjunju.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na plot
--- Eneo lililozunguka plot tayari limeendelezwa sana
--- kiwanja kipo tambarale,
--- Bei: TSH. 85,000,000/= (MILIONI 85).
---kiwanja kina leseni ya makazi na kina banda la vyumba viwili.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!