KIWANJA KINAUZWA MAGADU MOROGORO MJINI
KIWANJA KINAUZWA KIPO MOROGORO MJINI.
KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI YEYE UTULIVU NA INAYOFIKIKA VIZURI.
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQUARE MITA 2200.
KIPO JIRANI NA NGUZO YA UMEME.
KIWANJA KIPO KILOMETA SITA KUTOKA KATIKA YA MJI.
BEI NI MILIONI ISHIRINI NA TANO.(25, 000, 000)
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!