Ninauza kiwanja, kiwanja kipo eneo la NALA, kwa wale wenyeji kidogo ni mbele kidogo ya mizani kama umetoka dodoma kwenda singida, au center ya kwanza kabla hujafika mizani kama umetoka singida kuingia dodoma ni kama kilometer 12 hivi kutoka katikati ya mji,
kiwanja kimepimwa, na kimelipiwa gharama zote, kipo stage ya mwisho dawati la muandaaji wa hati, so naisubiri hati original iandaliwe. kipo jirani na barabara kuu (LAMI) ya dodoma kwenda singida, pia kipo jirani na huduma ya umeme. Kwenye picha hapo kiwanja **namba 406. Nauza mil 5, mazungumzo yapo. kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali. nyote mnakaribishwa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!