VIWANJA VINAUZWA KIEGEA B MOROGORO MJINI
KARIBU UNUNUE VIWANJA KATIKA ENEO LA KIEGEA 'B' MOROGORO.
VIWANJA VINA UKUBWA WA SQUARE MITA 900. NA VIPO SEHEMU INAYOFIKIKA KIURAHISI
VIWANJA VIPO KILOMETA SITA KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA.
BEI NI MILIONI MBILI NA NUSU.(2, 500, 000)
GHARAMA YA KUPELEKWA KWENYE VIWANJA NI ELF KUMI NA TANO(15, 000)
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!