4. Feb, 10:04
Utambulisho wa Tangazo: 2472812
TSh 25,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA LUGURUNI

Kinondoni, Kibamba Dar Es Salaam #PLOT ZINAUZWA KIBAMBA LUGURUNI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Viwanja viko: KIBAMBA LUGURUNI. --- Viwanja viko KIBAMBA km 1.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo. --- Viwanja viko viwili, sqm 1,600 na sqm 1,399. --- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki. --- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k. --- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja. --- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa. --- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 30,000,000 kwa sqm 1,600 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 1,399. --- Hati miliki ipo, unabadilisha umiliki tu. --- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA LUGURUNI
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
1,600.0 m²
Maelezo

#PLOT ZINAUZWA KIBAMBA LUGURUNI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

Viwanja viko: KIBAMBA LUGURUNI.
--- Viwanja viko KIBAMBA km 1.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo.
--- Viwanja viko viwili, sqm 1,600 na sqm 1,399.
--- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 30,000,000 kwa sqm 1,600 na Tsh. 25,000,000 kwa sqm 1,399.
--- Hati miliki ipo, unabadilisha umiliki tu.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samson Mushi
Samson Mushi
Mwanachama tangu 23. Jul '18
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!