17. Jun, 15:07
Utambulisho wa Tangazo 2974815
TSh 12,000,000

Kiwanja Kinauzwa Gezaulole-Kigamboni

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam Kigamboni Gezaulole Block 24
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
35,500.0
Maelezo

Nauza Kiwanja changu kilichopo Gezaulole Block 24 Kigamboni.
Kiwanja ni Kisafi na kipo katika eneo lililojengeka na linaendelezwa kwa kasi. Kuna kisima cha maji tayari na maji yake ni Baridi na Matamu.
Eneo Gezaulole Block 24
Ukubwa wa Kiwanja ni 338 Square Meters
Nunua moja kwa moja kutoka kwa Muuzaji (Hakuna Udalali wala ubabaishaji)
Kiwanja Kinatosha kabisa kujenga nyumba ya makazi au ya kupangisha.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Abdul
Mwanachama tangu 15. Nov '20
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!