Kiwanja kinauzwa kipo Kibaha mjini jirani na eneo la viwanda. Kiwanja kipo eneo zuri na kinafikika kirahisi. Kiwanja kipo umbali wa mita 800 tu kutoka barabara ya lami ya Morogoro
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.