Kiwanja kinauzwa
Kiwanja kipo gongo la mboto mwisho mbele kidgo ya shule ya st. Thomas secondary na karibu na Chuo Kikuu cha Kampala.
Umbali kutok nyerere road mpak kiwanja kilipo ni mita 500
Kiwanja kinaukubwa sqm 300 (15*20)
Kiwanja kinafikika kwa gari na na huduma za kijamii zinapatikan kiurahis
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!