KIWANJA KINATAZAMA LAMI KIZURI SANA KINAUZWA
MAHALI- #Chidachi
CHIDACHI-Iko iringa road,inapakana na image,kikuyu,kigamboni,michese na kinyambwa extension
UMBALI TOKA TOWN-6Km toka town centre
UKUBWA WA KIWANJA-570Sqm
DOCUMENT -Full
MATUMIZI-makazi
-kinafaa sana kwa nyumba ya kuishi
-pia appartments za kupangisha
BEI-22.5M(maongezi kidogo yapo)
HUDUMA -maji+umeme viko Jirani kabisa
SIFA ZA ZIADA
-,kiko sehemu yenye mazingira tulivu mno
-HIKI SIO CHA KUACHA KWA MUHITAJI ALIYE SERIOUS
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!