ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Eneo limejengeka.
Beacon za Ardhi tayari zimewekwa.
Huduma muhimu za Barabara,Maji na Umeme zipo jirani.
Ukihitaji kukakua tafadhali 'tufahamiane' mapema.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!