-Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (BOMA)
-Ina vyumba viwili (Kimoja ni master), pamoja na sebule,
-Saizi ya kiwanja ni 20M kwa 20M, Nyumba iko Ituha-Mbeya, karibu kabisa na shule ya Jifunzeni High school
-Bado kuna nafasi ya kujenga nyumba nyingine na parking
-Umeme uko nje ni wa kuvuta tu
-Kiwanja kiko barabarani kabisa
-Maji yapo mita 100
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!