▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kiko: UBUNGO MBWENI DSM
— Kiwanja kiko sehemu nzuri sana ya kimkakati kijamii kwa ajili ya shule.
— Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.
-- Kiwanja kina mita za mraba 4,657.
— Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa shule ya nursary, primary, n.k.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana.
— Eneo limepakana na barabara pande zote nne
— Bei: Tsh. 160,000,000/- na mazungumzo yapo.
— Eneo limeendelezwa sana na kuna maendeleo ya kutosha.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!