ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Kiwanja njia ya kwenda Kijiji cha Sofu,
Unashukia Vigwaza mizani upande wa Kushoto ukielekea Chalinze.
Eneo limeshaanzwa kujengwa Nyumba za kuishi.
Njia nzuri na usafiri wa Bodaboda Tshs.3000 hadi site kwako.
Umiliki anauza kutokana na dharula.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!