SWAHILI
KIWANJA# CHA# MAKAZI# KINAUZWA MBEZI MSAKUZI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kipo: MBEZI MSAKUZI .
— Kiwanja kipo karibu na barabara ya mbezi Msakuzi
— kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 800 sawa na 20/40
__Kiwanja kipo sehemu nzuri sana na eneo linalo zunguka kiwanja tayaripamesha jengwa.
__Kiwanja tayari kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala
— kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga/kuuza.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na plot
— Bei: Tsh. 25,000,000/- mazungumzo yapo.
— Mteja akitaka kwenda sity kuangalia muda wowote ana pelekwa.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!