26. Mar, 20:21
Utambulisho wa Tangazo: 2612571
TSh 150,000,000

KIWANJA CHA KUJENGA KITUO CHA MAFUTA, CAR WASH, YADI MWANZA

Other Mwanza District Mwanza Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza,
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
5,731.0 m²
Maelezo

Kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya Mwanza Shinyanga maeneo ya Nyang’omango jijini Mwanza, sehemu nzuri sana kwa kujenga Godawni, kiwanda, Yadi ya magari na mabasi, kituo cha mafuta na hata supamaketi.
Kiwanja kina ukubwa wa 709065 meta kinazidi kidogo hekari moja, kina barabara kuu ya rami ya Mwanza Shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha TIA, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jingo lote.
Pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Benjamin Kanuda
Mwanachama tangu 6. Jun '17
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!