18. Apr, 22:33
Utambulisho wa Tangazo: 2689225
TSh 1,000,000,000

Kiwanja cha biashara kinauzwa dodoma mapinduzi

Dodoma Mjini Dodoma Plot ya biashara inauzwa dodoma mapinduzi Mahali: dodoma mapinduzi. maelezo: eneo limepimwa na lina hati miliki. umeme na maji yapo katika eneo na kisima kirefu. Eneo limechangamka sana na huduma zote za kijamii zipo. Linafaa: eneo linafaa kwa hotel na lina vibali vyote kwajili ya ujenzi wa hotel.kiwanda, Kwenye eneo kuna nyumba moja ya kuishi na baathi ya majengo mengineawili Ukubwa: eneo lina ukubwa wa sqm 10,380 heka 2 na robo. Zaidi: eneo liko mahali pazuri sana kwa uwekezaji, Eneo kwa mbele kuna barabara ya lami ya kwenda udom. Bei ni B.moja (maongezi yapo)
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
kiwanja cha biashara kinauzwa dodoma mapinduzi
Price per square unit
Hapana
Square units
10,380.0 m²
Maelezo

Plot ya biashara inauzwa dodoma mapinduzi

Mahali: dodoma mapinduzi.
maelezo: eneo limepimwa na lina hati miliki.
umeme na maji yapo katika eneo na kisima kirefu.
Eneo limechangamka sana na huduma zote
za kijamii zipo.
Linafaa: eneo linafaa kwa hotel na lina vibali vyote kwajili ya ujenzi wa hotel.kiwanda,
Kwenye eneo kuna nyumba moja ya kuishi na baathi ya majengo mengineawili
Ukubwa: eneo lina ukubwa wa sqm 10,380
heka 2 na robo.
Zaidi: eneo liko mahali pazuri sana kwa uwekezaji,
Eneo kwa mbele kuna barabara ya lami ya kwenda udom.
Bei ni B.moja
(maongezi yapo)

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samson Mushi
Samson Mushi
Mwanachama tangu 23. Jul '18
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!