Kiwanja kizuri cha barabarani kina ukubwa wa 709065 meta kinazidi kidogo hekari moja, kina barabara kuu ya rami ya Mwanza Shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha TIA, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jengo lote.
Pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!