17. Apr, 01:20
Utambulisho wa Tangazo 2685070
TSh 900,000

KIWANJA BEI POA SAWA NA BURE

Mkuranga Pwani Ukitoka stendi mapaka eneo la mradi ni klm 2
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Kisemvule
Price per square unit
Hapana
Square units
50.0 ft²
Maelezo

Viwanja vipo ndani ya mtadi wetu Obey new village...Wateja watu wawili wanauza viwanja vyao kwa bei poa sana.

Futi 50 kwa 40 bei kwa kawaida ni 1,300,000 ila mteja anakiuza 900,000

Pia kipo katika mradi tulio umaliza mwaka jana nacho ukubwa ni sawa hicho kingine na bei ni 1,500,000

Na mradi huu wa tatu tupo na viwanja tunauza bei ni poa sana

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Alex Norbert Mwankemwa
Mwanachama tangu 17. Apr
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!