Frankiz Corner Bar, ni Bar Nzuri ipo Boko basihaya, mkabala na ATN Petrol station, 500m kutoka DAWASCO Tegeta Dar es salaam, pembezoni mwa barabara (New bagamoyo Road) inakodisha Jiko lake kuendeshwa na mtu binafsi/kampuni. Njoo mwenyewe au Tupigie simu kwa maelezo zaidi. Bei ni maelewano.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!