Product zinakufikia mpaka ulipo ndani ya nchi na nje ya Tanzania
CHANGAMOTO ZA UZAZI KWA WANAWAKE NA NJIA MMBADALA ZA CHANGAMOTO HIZO
Wanawake wengi kwa sasa wanakabiliwa na changamoto sana ya;
1.Mfumo wa mkojo (urinary track)
2.Kuumwa miguu
3.Nyonga
4.Viungo
5.Homoni kutofanya kazi vizuri
6.Kukoma hedhi(mesopause)
7.Matatizo ya mifupa
8.Kuzeeka kwa mfumo wa haja ndogo(Genital na urinary system)
9.Uchafu na bacteria sehemu za sili
10.Maumivu wakati wa Hedhi....
11.Maumivu wakati wa Tendo la Ndoa
Yote haya husababishwa na ukosefu wa Virutubisho mwilini,Mabadiliko ya hali ya hewa na mazingira hupelekea kubadilika homoni mbalimbali mwilini,vyakula,kuvunja ungo kabla ya mda wake...
NJIA MMBADA YA CHANGAMOTO HIZO
Pata Bidhaa/Virutubisho vya ASILI ambavyo ni mchanganyiko wa Matunda asili,Mitishamba,Madini eg Calcium,Vitamins e.g vit D,Asali ya nyuki wadogo eg pollen na ni Antioxidant.
Bidhaa hizi Zitamsaidia Mwanamke asipatwe na Changamoto hizo na kurekebisha na kuimarisha Homoni kufanya kazi vizuri mwili.
Kwa maelezo na mahitaji ya Bidhaa hizi tuwasiliane
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!