25. Okt, 11:44
Utambulisho wa Tangazo 3547197

INSURANCE

Kahama Shinyanga
Maelezo

JACTER CO. LTD
Tupo kahama majengo , kazi zetu tonazo zitoa ni kama vile : {INSURANCE}Ambazo ni bima za magari,majengo, pikipiki, meli na bima ya majengo ya kuifadhia bidhaa
(USAFI} Tunatoa usafi wa aina zote , usafi wa ofisi usafi maeneo ya vindwa , usafi wa maeneo ya biashara. pia ni madalali wa vyumba na viwanja
kubwa kuliko tunaagiza magari toka Japan, UK , Philipines kwa bei nafuu mpaka nyumbani kwako. kingine kwa wale wageni wanao hitaji kuja kahama tuna huduma ya kuwatafutia hoteli nzuri kwa ajiri ya mapumziko kwa bei nafuu
Eeeeeh hii ndo JACTER CO . LTD. Jiunge nasi upate kilicho bora zaidi

JACTER CO .LTD
Mwanachama tangu 25. Okt
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!