3. Mac, 12:10
Utambulisho wa Tangazo: 1579315
TSh 200,000

Incubator ya solar na umeme ya mayai 36

Kinondoni, Makuburi Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Mikoani tunatuma na zinafika salama kabisa.
Gharama za kutuma mikoani ni juu yetu.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Ni rafiki sana kwa mazingira yasiyo na umeme wa uhakika
Inatumia umeme kidogo sana 35W sawa na unit 0.84 kwa siku.
Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe
Inatumia sola, betri ya 12v au umeme wa kawaida.
Inachukua mayai 36 ya kuku.
Totolesha mayai ya kuku, bata, kanga, njiwa, kware nk
Ina ufanisi wa asilimia 95%

Tupo mkabala na shule ya Yusuf Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo external kuelekea Tabata Kimanga

Eco Farms Innovatives
Mwanachama tangu 2. Sep '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!