3. Apr, 15:41
Utambulisho wa Tangazo 2642267
TSh 1,650,000

Incubator ya mayai 560

Kinondoni, Makuburi Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Incubator yenye mfumo wa kisasa kabisa ya mayai 560.(Hardbody)
?Totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga.
?Inatumia umeme au sola/betri ya 12v
? Inatunza joto mpaka masaa 7 baada ya umeme kukatika.
✅ Ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 98%
✅ Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe.
✅ Ina humidifier ya kuongeza unyevu hivyo kuweza vifaranga wengi kuanguliwa.
?Utapata ofa ya drinker na feeder seti moja bure.
? Ina mfumo rafiki sana kutumia.
? Utapata vifaa vya ziada kama Egg tester, inverter ya watts 1200, sprayer, na system ya kuongeza maji automatic.

Eco Farms Innovatives
Mwanachama tangu 2. Sep '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!