Nyumba inauzwa Ntyuka DODOMA
SIFA ZA NYUMBA
Vyumba 4-3 self contained
Ina servant za kutosha na eneo kubwa
Public toilet & bathroom
Dining room & kitchen
Living room
Store
Fenced
Block paving
Umeme na maji vipo
Nyumba ni mpya
MAHALI ILIPO
Mtyuka
Uwanja 2000sqm
Parking space ya kutosha
6km kutoka city centre
Ipo karibu na dcmc hosp
Imezungukwa na nyumba za kisasa
Umeme na maji ni uhakika
BEI
180 Negotiable
Gharama za kupelekwa site kwa usafiri wetu ni 15000Tsh tu.
karibu Dalali_makini_dodoma kwa huduma makini za
-kununua na kuuza nyumba
-Kuuza na kununua kiwanja
-Kupanga na kupangisha nyumba
-kuuza na kununua mashamba
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!