Nyumba Inavyumba vi4 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni Sqm 600 documents Hati miliki ipo (Title deed) bei millioni 110 maogezi yapo njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!